Tangaza biashara yako vema mkuu. sema kg moja bei gani, uko wapi? nk lakini unaposema mtu aku -pm kwenye biashara ya siku hizi....mmmhhhhhh! mimi nachelea utapata watu wachache wa kufanya hivyo kama wapo. Mimi mwenyewe nataka dagaa lakini nataka open business