Nilinunua dagaa wa kigoma Kariakoo July 5-2015 kwa bei ya 34000/= nilishangaa kidogo mara ya mwisho nilinunua 2013 kwa bei ya 25000/= nadhania huko mbele hawa dagaa hawata patikana kabisa sababu hata kkoo ni mtu mmoja tu nilimuona anauza!
Dagaa Kigoma ni tofauti kiladha ndugu....usiombe ukakutana na mtu anayejua kuwapika vizuri hao wadudu....utanielewa.....ila duh bei expensive kuliko kuku,samaki!