Dagaa safi kutoka mwanza

Dagaa safi kutoka mwanza

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
741
KWANZA FOOD PRODUCTS ENTERPRISEs(KFEs) inakuletea KWANZA DAGAA PRODUCTS tunasambaza na kukufikia popote ulipo kukuletea Dagaa safi na walio bora kwa afya yako kutoka Ziwa Victoria - Mwanza, Dagaa hawa hawana Mawe wala mchanga na wamekaangwa vizuri kabisa wako tayari kwa chakula.
Call for orders: 0717184353
Wamekua packed katika packages 6 tofauti na kwa bei nafuu kabisa, kama ifuatavyo
Uzito. Jumla. Reja.
80gm. 850. 1000
135gm. 1500. 2000
150gm. 2000. 2500
200gm. 2500. 3000
250gm. 3000. 3500
300gm. 3500. 4000.
Jumla inaanzia packages 20, Karibu sana.
KFEs Ipo kwa ajiri yako, tunajali afya yako kwa vyakula asilia, tunasambaza na kukufikishia popote ulipo katika muda ulio sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom