Khabari za mda huu wapambanaji!
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Sisi ni vijana tulohitiku chuo kikuu hapa nchini, tumeamua kuungana kufanya biashara ya dagaa, tumeshaanza na baadhi ya mikoa kama tabora tunanua wabichi wengine tunaanika na kuwasifirsha wakiwa wakavu na wengine tunawakaanga, hapa inategemeana na order inavokuja ,ikiwa mteja anahitaji wa kukaanga basi humuandalia kwa weledi mkubwa sana ,vilevile kama anahitaji wa kavu nao pia tunatengeneza.
Tunaomba mwenye kuhitaji au mwenye anajua soko la hawa mboga tuwasiliane lengo ni kutanua wigo wa masoko na kufanya kazi nzuri.
Tunasafirisha sehemu yeyote nchini kwa gharama zetu ili mradi tuelewane bei ya manunuzi
Kwa maelezo zaid nicheki kwa namba hii 0742613347