Tarrus
Member
- Jun 30, 2016
- 42
- 38
Habari waungwana wa Jf,tunauza dagaa kwa ajili ya chakula cha mifugo kama vile kuku,ikiwa wewe ni mtu binafsi,kampuni au shirika unahitaji mtu wa kusupply hao dagaa kwa ajili ya mifugo please naomba tuwasiliane via PM or e-mail nyanzainv@gmail.com