Daftari la maandalio ya kazi (scheme of work) & Reason Plan

Daftari la maandalio ya kazi (scheme of work) & Reason Plan

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Ofa ya kuchapisha daftari la maandalio ya kazi kwa ajili ya kufundishia mashuleni...tunazita SCHEME OF WORK

Tunachapisha madaftari haya ambayo yako kwenye form ya 'A3' na Daftari la maazimio ya shule/mwalimu..Reason

plann ya miezi 6 au mwaka 1 kwa ajili ya shule/mwalimu....

Kwa mawasilino :whatsap 0755 927881
 
Reason plan ndiyo nini? Au unamaanisha Lesson plan?
 
..It might be same way,lugha gongana!!....aaaha aaah!

Asante sana,ni Lesson plan...
 
..It might be same way,lugha gongana!!....aaaha aaah!

Asante sana,ni Lesson plan...

Tatizo ni kwamba usingerekebishwa hata kwenye cover ungeandika REASON PLAN...

Harafu kuna AZIMIO LA KAZI na ANDALIO LA SOMO...SCHEME OF WORK na LESSON PLAN

Hakuna kinachoitwa maandalio ya kazi...

Tafakari...
 
Hakuna "Harafu" kuna " Halafu"
 
Mi nataka editing ya gramar na layout na kuprint vitabu vyang 2, je inapatikana hiyo uduma.
 
Mi nataka editing ya gramar na layout na kuprint vitabu vyang 2, je inapatikana hiyo uduma.

mkuu swala la kuedit gramar hapa ndio mahala pake mkuu nicheki pm
 
Back
Top Bottom