Daddyhood

Daddyhood

Thank you Ngabu.Ila Hapa duniani kuna wanaume na mababa kama ilivyo wanawake na mama.Umama au Ubaba ni KIPAJI na sio kila mtu anacho.
 
Bado sijaona kitu cha furaha hapa duniani kama kuwa karibu na mtoto wangu.
 
I'm a proud dad too, my little champ is my motivation, hope and true happiness. Raising wonderful kids a dream every dad should crave for.
 
Bado sijaona kitu cha furaha hapa duniani kama kuwa karibu na mtoto wangu.

nafurahi kusikia hivi, kumbe tupo wengi, nampenda sana mtoto wangu, hata wagogo zake nitawapenda, nitawajali kwani ndio Mimi wa hapo baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom