Daddy naomba hela nikanunue kitabu cha Twitter.....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,343
Reaction score
111,606
Daddy ninaomba hela mwalimu katuambia tununue kitabu cha Twitter, halafu daddy pia kuna kile kingine cha Facebook kinahitajika kwa ajili ya maswali na majibu.....
Halafu daddy nilisahau kuna natakiwa niende kwa daktari wa meno bluetooth yangu inauma, inatakiwa kama elfu 30....
 


miaka yetu tuliweza kusema tumevunja encyclopedia, Perpendicular au triangle na unapewa hela ya kutosha,
sasa madogo wa kileo hata maujanja hayo watayapata wapi wanaishia na feisibuku tu.


 


miaka yetu tuliweza kusema tumevunja encyclopedia, Perpendicular au triangle na unapewa hela ya kutosha,
sasa madogo wa kileo hata maujanja hayo watayapata wapi wanaishia na feisibuku tu.

umesahau na "banseni bana" na "testi tyubu"
 

Kumbe tulikua pamoja!
Kwenye "kifungua kinywa"
that's effection for parents who they resist attend to school .
 
Nimeisikia hiyo leo kwenye PB, nimecheka sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…