Mimi sipendi mijitu minene, yenye kitambi na inayotoka sana jasho na kunuka saaaaaaaaana harufu za sigara au pombe.Mimi naona wasiruhusiwe kupanda mabasi au kuonekana hadharani.
..paja kitu gana hata kuku analo,teh teh...
Msivae nguo kabisa!!Wanaume hamna jema.
Tukivaa majuba mnatusema,
tukivaa Mini ndo kbs,sasa mwatakaje?
Hao mama zetu walikuwa wanavaa hizo nguo fupi wakati wa kupiga picha tu kisha wanazivua ama wavae chumbani wakiwa wenyewe ama na waume zao, ama kwenye matukio maalum yanayoruhusu kama sherehe za ndani, michezoni nk.Kuvaa mini skirt ni kama fashion nyingine tu, haina shida. Mimi huwa nazipiga vizuri sana tu, sema mimi huwa sipandi daladala tu labda ndio tofauti huyo dada. Mimi nimelelewa hivi na offcourse nimekuwa nikiona picha za akina mama wa zamani walikuwa wanavaa miniskirt hasa, sio kama sisi leo, zao zilikuwa fupi zaidi!! So sometimes najiuliza hii habari ya kuporomoka maadili, na madada kuvaa nguo fupi ilianza lini, miaka ya 1940s au? Sioni tatizo dada akivaa miniskirt! Kuhusu matiti na mengineyo sitachangia kwa sasa!
kiukweli haka ka utamaduni ka mzungu kanatusitiri sana kwani ukiangalia enzi zile makabila mengi walikuwa wasichana walikuwa wanatembea kifua wazi na kasketi ka kizushi kusitiri kdg tu bt mapaja, kiuno, kifua na sehemu nyingi zilibaki wazi.habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile
Wanaume hamna jema.
Tukivaa majuba mnatusema,
tukivaa Mini ndo kbs,sasa mwatakaje?
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie