Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Tusifuatiliane, maisha rahisiiiii.
Kufuatiliana imo lakini kwa stara, si lazima uwe na access na simu ya mwenzio, simu ni private, kama unaishi na mtu kimeo utakuja kugunduwa tu.

Tatizo la simu unaweza kukuta charts conservation za mwenzako ukalipuka na wakati hao watu hawana uhusiano wa mapenzi.
 
Eti jamani, kufuatiliana muhimu aisee ila usiwe too much, eti simu ya mtu niione kama bomu la nuclear siwezi kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo lazima unazungumzia flirting, sumu hiyo. Acha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…