Hajamfikia kiduku Lilo huyo! Kiduku Lilo mzee wa kuita ist 'vyombo vya usafiri '
Kasema hajaoa yuko kwenye umri wa kula ujanaUshauri mzuri sana huu Mkuu, asipokuelewa basi
DuhVoda 90k
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kila binadamu ana asili ya ukichaaBalaa lako nizito yaan mchepuko unahudumia vzr kushinda mke wako! Kweli hawala hali tembele.
πππ kwann unasema hivyo mzee wangu?Kila binadamu ana asili ya ukichaa
Chuo kina free wifi ,hata izo 40GB unazomnunulia ana spend nazo kwa matumizi yake binafsi
Unayoyafanya Ni ya kawaida sana, sisi tuna matumizi mengi please usimbanie mdogo wetu, maisha yenyewe haya Ni mafupi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu mwenyekiti ameonesha mfano[emoji23][emoji23][emoji23] kwann unasema hivyo mzee wangu?