Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
- Thread starter
- #41
Wanaume wa kiafrika wanavyodharau wanawake utadhani hawakubebwa miezi tisa na mwanamke.
Lakini hii yote ni inferiority complex,mtu hataki kukubali nafsini mwake kama mwanamke ana maendeleo katika jambo analolifanya kumzidi yeye, hivyo anaona bora
ajifariji oo sijui anauza nini,
wanaume wenye kujiamini na wenye amani na maisha yao huwa wako very supportive.
Jifunze kujiamini .
mimi nimeuliza siri ya mafanikio nataka nimwambie wife aende dubai lakini lazima nijiridhishe ni biashara gani anaenda kuifanya huko dubai.sasa dada yangu mpenzi kama umewahi kwenda huko nipe uzoefu.