Dada zetu mkifika “magetoni”

Dada zetu mkifika “magetoni”

Chumba cha mwanaume kitakuonyesha picha kamili ya hicho kidume. Kinajitambua? mwanamume anayejitambua yuko systematic... mpangilio wa chumba, hali ya usafi, vitu vilivyomo chumbani. Hapa sio lazima ukute mativii, mameza sijui manini ya thamani... hapa unaangalia vitu vya mtu ajijuae, sio unakuta kuna matairi mabovu, kuna machupa ya maji yaliyotumika, makopo, mafimbo, kumejaa makaratasi ovyo ovyo, dirishani ndio dressing table, miswaki imesambaa kila mahali, neti toka ichomekwe haiujawai tolewa, masoksi machafuuu, uvundo chumba kizim!.

Ukiona kuna dalili kwamba usafi umefanyika siku ya kuja mgeni ujue huyo sio....

ongezeeni vingine.....
 
Umenisema kama nilivyo isipokua badala ya mafimbo na matairi mabovu mimi nina nondo na neti sina.
 
Back
Top Bottom