Dada zetu mbona mnawapenda sana 'Guys in Uniform'

Dada zetu mbona mnawapenda sana 'Guys in Uniform'

Sijui kwanini wadada wengi wanawapenda sana wanaume wanaovaa uniform, kuanzia uniform za jeshi, polisi, watu wa uhamiaji, magereza ,mabaharia na aachilia mbali sisi marubani.

Kama kuna mtu anajua uhusiano uliopo kati ya kuvutia na uniform plz nipe mchango wako nielewe zaidi.
Kbs mkuu !!1 na waKaka hupenda Uniform za manesi !!

 
hamna gharama za nguo .. kwa swala la baby nimeona nguo fulani sijui wapi ? nakuuliza sasa baby unataka hiyo wakati huna hata mda wa kuivaaa... bora uninunulie mimi tu gauni mbili

Wewe miss Chagga nikikwambia wewe ni shidah unakatta.

Ona sasa ulivyo na mawazo chanya. hebu na mie nianze kutafuta wa uniform aisee. Kwa mawazo yangu nilidhan alitaka tujue na yeye ni rubani ila na dauti sana huo urubani wake maana kuna mpaka rubani wa ungo.

Kuna usemi usemao coins make noise but noti noti huwa hazifanyi hivyo.

Na dedicate huu usimi kwa mtoa mada.
 
ndugu, Ethiopia airline ni shirika dogo???????? haupo serious na kampini yako, yaan kampni hii naikubali sana, service standard yao ipo poa sana, dah..
asante kwa compliment kiongozi, the new spirit of Africa
 
Wewe miss Chagga nikikwambia wewe ni shidah unakatta.

Ona sasa ulivyo na mawazo chanya. hebu na mie nianze kutafuta wa uniform aisee. Kwa mawazo yangu nilidhan alitaka tujue na yeye ni rubani ila na dauti sana huo urubani wake maana kuna mpaka rubani wa ungo.

Kuna usemi usemao coins make noise but noti noti huwa hazifanyi hivyo.

Na dedicate huu usimi kwa mtoa mada.
nimeupokea huo usemi
 
Hahaha Mr. Captain. Women like to be served, and guys in uniforms serve. I think.
 
Wewe miss Chagga nikikwambia wewe ni shidah unakatta.

Ona sasa ulivyo na mawazo chanya. hebu na mie nianze kutafuta wa uniform aisee. Kwa mawazo yangu nilidhan alitaka tujue na yeye ni rubani ila na dauti sana huo urubani wake maana kuna mpaka rubani wa ungo.

Kuna usemi usemao coins make noise but noti noti huwa hazifanyi hivyo.

Na dedicate huu usimi kwa mtoa mada.
huu ujumbe pia me unanihusu aiseee......
 
Hakuna Cha Uniform Wala Nn Hapa Kikubwa Mpunga 2 Hata Kama Hauvai Uniform Hebu Jiulze Platinum Anavaa Sare Yoyote? Kiba Na Wengneo Weng Kikubwa Uwe Na Mpunga Na Unaweza Ukavaa Sare Kumbe Akaunt Haisom Vzr Ww Utaliwa Xana Na Asie Na Sare Ww Endelea Na Mawazo Yako Ya MITA 200 utapgiwa 2
 
uniform ya nini?? hata ukienda milembe vichaa wa kiume wana uniform. anapendwa mwanaume mwenye KICHWA
 
Basi watawapenda na wale wa mashuleni. Je, kwa wanawake wanaovaa uniform hali ikoje kwa wanaume?
 
Ngoja nimshonee wangu uniform labda ntampenda zaidi
 
I find men in uniform to be very attractive. Doctors, Lawyers, Pilots etc. Nafikiri ni kwa sababu wanaonekana clean, smart, serious and matured. Kuna characters wanazo ni nzuri sana ila sio wote.
 
Wa bank ndo wazur kwel yaan ukwel ni kwamba wakati wa kufua /unyooshaj nguo huwaga ni chache sana adi raha.
 
Back
Top Bottom