Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mi natamani nikiona mashoga zangu kila mwezi nawachangia harusi sema sina haraka najua atakuja mtu ila ndo lini sijui na nishasema sitaki ndoa ya majaribio ya kuwafurahisha binadamu.

Wakati ukifika na mie nitakua Mrs. somebody inshallah
wakati wako upo karibu sana kufika kama uko serous hadija rashidi!
 
Kwani hao wengine wanaooa wameoa mabikra? Kama kigezo ni nisigongwe mi sio bikra kwahiyo kugonjwa kupo mpaka atakapotokea huyo Mr. right. Halafu mi hata mtu akisema chochote ambacho mi hakinisumbui ni sawa tu kwa kweli ila siwezi acha kwa maneno ya mtu. Huwezi jua anaegonga nae anaweza akanogewa na kugonga akawa mume sasa kwanini nijime utamu.

Kauli mbiu yangu ni "Enjoy the journey while waiting".
anayegonga anaweza akabadili gia angani au sio!
 
Sijamtaja jina Sasa sijamtendea haki kivipi au unamjua? Kukeketwa kunaweza kukawa sababu ya kutokuolewa pia, huenda anayaonea aibu maumbile yake.
of course hukumtaja jina na wala simjui ila ni kwa vile tu nimeumbwa kutokupenda mtu innocent akidhihakiwa whether ametajwa jina au namjua ila all in all kama wewe unayemjua na ni wifi yako umeamua kumkejeli hivyo mimi nisiyemjua ni nani hadi nikuzuie kuendelea kumkejeli huyo wifi yako!
 
Woi. Atasemwa tu kwani yeye ni binadamu Kama mimi. Hata mimi nasemwa lakini sijali ndo maisha yalivyo
 
Back
Top Bottom