Dada zetu, hii maana yake nini?

ukipenda boga........!!! acha kulalamika. Unamfunua burebure tu, hiyo ndiyo gharama yake. kuwa mpole tu.
 
Yawezekana wewe kama mwenye nyumba haupo organized na in control of your house. Kama umekubali biashara ya binti kuacha vitu vyake, kwanini usimtengee sehemu yake (zake) maalum ambazo anaweza tumia? Otherwise mwambie asiache vitu ovyo maana huo sasa ni uchafu
 
Weka Picha mkuu, nafikiri itakuwa vizuri kabla sijacomment
 
mi kama hao wakiacha naweka kapuni siku akija navirudisha! ila ukifanya hivi hakikisha haleti suprise za kuja kwako bila taarifa!
ukishindwa ubabe tu "sipendi kuziona, hapa wanaingie watu tofauti tofauti" na ndo maana kuna makabati na mabegi!
 
Michepuko ni noumaa baki njia kuu
 
mi kama hao wakiacha naweka kapuni siku akija navirudisha! ila ukifanya hivi hakikisha haleti suprise za kuja kwako bila taarifa!
ukishindwa ubabe tu "sipendi kuziona, hapa wanaingie watu tofauti tofauti" na ndo maana kuna makabati na mabegi!

Hahaa nimekusoma mkuu!
 
This is one of the signs of a desperate woman. A woman who moves in albeit forcefully into a man's home to try and establish a form of possessiveness hoping the man will be coerced into commitment.

Such a dumb move.

Men hate/fear commitment. Moving into his home without his invitation leaves a lot to be desired. He may really like you but clinging sends him scuttling without a second thought.

Some aspects of a relationship are best left to a man to make a decision.... if he invites you into his home then do so but play according to his cue. A pair of pys, a pair of jeans... not the whole closet.
 
Hiyo inaitwa "territorial marking", hata mbwa hukojolea sehemu anazopita ku mark territory yake. Sasa hivyo vijijanakike unavyofanya navyo zinaa vinaweka marking yao.

Kapime UKIMWI.
 
Nakupenda bila sababu, lol
 
Hiyo inaitwa "territorial marking", hata mbwa hukojolea sehemu anazopita ku mark territory yake. Sasa hivyo vijijanakike unavyofanya navyo zinaa vinaweka marking yao.

Kapime UKIMWI.
Sista naona umekuwa balozi mzuri sana wa vita dhidi ya ukimwi, kila mzinzi unamwachia hiyo kazi..
"Kapime Ukimwi"
 
right on point,nimekupenda bure...and i must credit ur 'perfect english' too...
 
i real begin to like you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…