Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,418
Achana na kuchugulia watu wanafanya nn siku zinakwenda ya wenzio yanaaonga ww utabaki kuwaza kafanyaje,Badilika mwanakwetu
jamani wathirika wakubwa wa social media ni wabidada! unajua nini leo nilipanda daladala nikakaa seat ya nyuma mbele yangu kuna mzee misiri ya Mh. wsr anachat na mrembo whatsup anamrushia verse na mdada karibu nyingi kama anampata vile mzee wa watu, mwisho wasiku kamkubalia jamaa!
Mnapaswa kubadilika jamani be serious mzee si tu waajabu anadandia daladala na akina j.mahinya wenye miaka 20 na kitu huku yeye ni misiri ya Mugabe huenda hata bimkubwa huko home hajala zee lina ipad linachat na warembo macho juu kwenye daladala wanapeana promises! Heshimuni ndoa za watu wenye umri wa baba na babu zenu mabidada duh!!!
u need to change! yule ni babu yako, unamtesa bibi yako!!!!!!!!!!!!!!
King'asti kwani kuwa maasai ni tusi? Tutake radhi jamii ya maa. Hehehe.
mie mwenyewe ni mmasai. hebu niondolee kiwingu
u need to change! yule ni babu yako, unamtesa bibi yako!!!!!!!!!!!!!!
they never want to learn anything kinachohusu "their river btn" you are just wasting you time!Jamani wathirika wakubwa wa social media ni wabidada! unajua nini leo nilipanda daladala nikakaa seat ya nyuma mbele yangu kuna mzee misiri ya Mh. wsr anachat na mrembo whatsup anamrushia verse na mdada karibu nyingi kama anampata vile mzee wa watu, mwisho wasiku kamkubalia jamaa!
Mnapaswa kubadilika jamani be serious mzee si tu waajabu anadandia daladala na akina j.mahinya wenye miaka 20 na kitu huku yeye ni misiri ya Mugabe huenda hata bimkubwa huko home hajala zee lina ipad linachat na warembo macho juu kwenye daladala wanapeana promises! Heshimuni ndoa za watu wenye umri wa baba na babu zenu mabidada duh!!!
Babu bongo
Na hiv bunge la katiba lishatema posho aku babu wee
nimeipenda hiyo pc
Hakunaga maini ya ng'ombe mzee, ini ini tu.....
Ewaaa..uko wapi.mama nikupongeze kizee zee