Ungemwambia huyo babu papo hapo kuwa aheshimu ndoa yake!
Yaani kwenye daladala ulionaje jinsi mtu anavyochat na anachat na nani? Ningekuwa mie ningekuwa nakutukana kwa kumsimulia kuna mmasai aanachungulia nnachoandika! Khaa!
Kwani huyo babu kamuambia kuwa ana mke? Umbea ni kipaji atii[/QUOTE]
Haswaaa! na si kila mtu alipewa!
Yaani kwenye daladala ulionaje jinsi mtu anavyochat na anachat na nani? Ningekuwa mie ningekuwa nakutukana kwa kumsimulia kuna mmasai aanachungulia nnachoandika! Khaa!
mmasai ni tusi?
mmmmh!!!! umdhaniae ndiye.............
Hebu silikiza hili songi kwanza uburudikeAbee kaka?
Unadhani ni rahisi kuwa mmasai kama mimi? Unakaa mjini afu huna nyumba! Unalinda nyumba usiku na mchana unatafuta kivuli cha kulala!
Yaani kwenye daladala ulionaje jinsi mtu anavyochat na anachat na nani? Ningekuwa mie ningekuwa nakutukana kwa kumsimulia kuna mmasai aanachungulia nnachoandika! Khaa!
Wazee mwisho Chalinze, wa wapi wewe. Mjini ni vijana wa zamani. Kwenye kona kona tuko pamoja.
u need to change! yule ni babu yako, unamtesa bibi yako!!!!!!!!!!!!!!