Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter
- #61
Soft approach nenda kamwambie mkeo kila kitu then yeye atamalizana na nyie wote wawili.
Du aisee we si mtu mzuri
Soft approach nenda kamwambie mkeo kila kitu then yeye atamalizana na nyie wote wawili.
mkuu Nduka Original ndo huyu hapa ulikuwa unamzungumzia mwaka mmoja uliopita?
Hapana huyu nilikuja kugonga mara 1 mara 2 nikaacha
Mi ndo maana sina mpango wa kufa hivi karibuni. Haka kamai waifu kangu kalivo kazuri, na hii mirafiki yangu ilivyo mikware. İtakuja kunigongea waif kwenye kitanda changu kitakatifu.
Btw mkuu hivi si imeandikwa tuwapende na kuwafariji wajane?
Swali la kizushi huyo jamaa aloRİP aliugua muda mrefu au?? Stuka!!!! Think!!!
Mpwa amsha amsha
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/408619-wife-kanikuta-club-nikiwa-na-demu.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/387739-huyu-binti-kanikera-naomba-ushauri.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/260927-nyumba-ndogo-inanichanganya.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/302175-mke-wa-jirani-yangu-ananisumbua.html
cc: Heaven on earth
Hivi mbona JF hakuna msaada? mwenzenu nimebanwa nahitaji msaada wenu mnipe techs za kuchomoka kwa shemeji bila kuwa na mazara jamani.