Dada zangu naombeni mnishauri cha kufanya

Dada zangu naombeni mnishauri cha kufanya

Unataka uongeze mtaji wewe si bure....Unataka kuniambia ni kipi cha ziada unachokipata huko ambacho unakikosa kwa mkeo?

Hapo ndipo u can at times say men are stupid we mkeo unae unapata kama unavyopata huko kama ni maswala ya mnjonjo teach her what she lacks ina maana huoni aibu kuwa na affair na shemejio tena mume kafa na ulimuuguza shame on yu
 
yani hapo tu napo onaga wanaume ni wanyama tena makatili., go to hell we ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje? ona aibu upo tayari kumuumiza mkeo na kumuonea huruma huyo kkaragosi.
 
wonders shall never end. put yourself in your wife shoes what would you do if you find out that she has been cheating.
 
yaani mi hapa ndio huwa nachoka akili na mwili aisee....

nikiwazaga kuingia kwenye ndoa halafu nisikie habari hizi roho hupatwa na baridi

nampatia picha mke wake ndo ukute ni yule Innocent/humble halafu husby ndo hivi
Bebi, wachukuwa waume za watu mara nyingi ndo wanakuwaga waoga sana kuingia kwenye ndoa
 
basi mkeo unipe mimi!! the issue is solved and you wanna see how it hurts
 
the way nnavyoimagine wewe sio mume mwema na ndio maana umefanya yote hayo

Kipimo cha mume mwema ni kipi hasa?????? Hivi unaamini wanawake wote wana vigezo sawa katika kupima mume mwema????

Mwanaume wa kweli ni yule muaminifu katika mahusiano yake na sio kufungua zipu to everywoman anayepita katika macho yako

Mwanaume wa kweli ni yule anayeonekana mwaminifu katika familia yake na anayetimiza majukumu yake kama baba wa familia lakini hii haimaanishi ni lazima awe na mwanamke 1.
Mume mwema si yule anayemwambia mkewe kuwa alicheat na kuomba msamaha, ila ni yule ambaye ataweza kumfanya mkwewe ajisikie hajawahi kuibiwa hata siku moja.
 
Kilichomuua mumewe nini? Maana siku hizi haka kaugonjwa mtu anakufa na afya yake..
Ila achana na huyo mama kwa faida ya ndoa yako..
Huyo mama atafute wajane wenzake
 
Mimi nimekuja hapa jamvini kupata ushauri na techs za beautiful exit, mimi pia sipendi kumkwaza huyu mjane wa watu ambae amenipenda from the bottom of her heart. We have been into relationship already which I find to be hazardous to my marriage. Ndoa it's another thing lakini pia kama binadamu sipendi kumkwaza huyu dada wa watu.

Ninacho omba ni approach gani nitumie ambayo haitamuathiri?????????????????????????
 
Hivi maswali mengine ni ya kuuliza kweli?Wewe ungefanyiwa hivo ungejisikiaje?
Ama kweli kila mtu amepewa akili lakini uwezo wa kuzitumia hizo akili ndo unatofautisha watu....Wewe ndio kati ya wale wenye akili kama za kunguni...
Kama unampenda sana kuliko mkeo kwanini usimuoe yeye?Unajiumauma!!Na nina wasiwasi vilevile njaa inakusumbua...
mapenzi ni upofu wakati mwingine
 
Mimi nimeoa, yapata mwaka sasa nimekuwa na mahusiano na mdada ambae alikuwa mke wa shemeji yangu ambae familia zetu zilikuwa karibu sana. Wote tunaishi hapa hapa dar. Kwa bahati mbaya rafiki/ndugu yangu yule alifariki. Nilihusika sana katika kumuuguza mpaka mauti ilipomkuta.

Mahusiano na familia ya marehemu yaliendelea vizuri na nilijitahidi sana kutoa msaada pale ambapo niliweza. Kibaya ni kwamba tumekuja kuwa na mahusiano na kimapenzi na huyu shemeji yangu.hakika wote tunapendana sana. Mapenzi yamenoga ambapo mpaka naona ni hatari mke wangu akija kujuwa. Naomba muelewe shemeji huyu hana matatizo kwani mume kamuachia nyumba, magari kama matano ya biashara, maduka mawili hapa mjini na yeye mwenyewe pia ni msomi ana mba.

Swali: Mimi nina wazo niongee na huyu shemeji yangu tusimamishe uhusiano wetu kabla mke wangu hajafahamu. Kuna baadhi ya marafiki zangu tayari wanafahamu. Je madada zangu mnadhani huyu mama atalichukulia vipi? Au kuna approach nyingine ninaweza kuitumia?

Naomba ushauri.

Ukiwaza mambo ya ndoa ni KICHEFUCHEFU kitupu. Hebu niambie ushenzi gani huu ulioufanya, aibu gani umemtia mke wako. I cant imagine siku akigundua, yaani roho inaniuma utafikiri mimi ndio mke.

Sina hata cha kukushauri, kafie mbele huko.
 
Mimi nimekuja hapa
jamvini kupata ushauri na techs za beautiful exit, mimi pia sipendi
kumkwaza huyu mjane wa watu ambae amenipenda from the bottom of her
heart. We have been into relationship already which I find to be
hazardous to my marriage. Ndoa it's another thing lakini pia kama
binadamu sipendi kumkwaza huyu dada wa watu.

Ninacho omba ni approach gani nitumie ambayo
haitamuathiri?????????????????????????
such a shameless man
 
au nyumba na magari matano yanakutoa utu! angekuwa kapuku unge fall in love!
 
Mimi nimekuja hapa jamvini kupata ushauri na techs za beautiful exit, mimi pia sipendi kumkwaza huyu mjane wa watu ambae amenipenda from the bottom of her heart. We have been into relationship already which I find to be hazardous to my marriage. Ndoa it's another thing lakini pia kama binadamu sipendi kumkwaza huyu dada wa watu.

Ninacho omba ni approach gani nitumie ambayo haitamuathiri?????????????????????????

mkuu Nduka Original ndo huyu hapa ulikuwa unamzungumzia mwaka mmoja uliopita?

Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na kuniletea either matunda au chochote kile. Wiki end hii kaniletea bukta eti anasema ya kulalia. Je nifanyeje nimwambie mke wangu?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimekuja hapa jamvini kupata ushauri na techs za beautiful exit, mimi pia sipendi kumkwaza huyu mjane wa watu ambae amenipenda from the bottom of her heart. We have been into relationship already which I find to be hazardous to my marriage. Ndoa it's another thing lakini pia kama binadamu sipendi kumkwaza huyu dada wa watu.

Ninacho omba ni approach gani nitumie ambayo haitamuathiri?????????????????????????

Mweleze uhalisia kwamba umeona mkeo akijua italeta shida kwenye ndoa yako hivyo umeamua kusitisha mahusiano.
Mwambie wewe ni mwanamke hebu tumfikirie huyu mke wangu pia. Nadhani hata wewe usingependa mumeo akufanyie hivi, please naomba tuache.
 
Soft approach nenda kamwambie mkeo kila kitu then yeye atamalizana na nyie wote wawili.
 
Mweleze uhalisia kwamba umeona mkeo akijua italeta shida kwenye ndoa yako hivyo umeamua kusitisha mahusiano.
Mwambie wewe ni mwanamke hebu tumfikirie huyu mke wangu pia. Nadhani hata wewe usingependa mumeo akufanyie hivi, please naomba tuache.

Je hatasema wakati na mua approach nilikuwa silijui hilo?
 
Back
Top Bottom