kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
Atakuwa mzinzi huyuDuh......unapata wapi muda wa kufatilia mavazi ya mtu??? Yani kila siku unaangalia kavaa ya rangi Gani???
Hao si ndio wale wanaume wa vijiweni hawana shughuli za kufanya hivyo hiyo ya kumfuatilia huyo mdada ndio kaifanya shughuli.Duh......unapata wapi muda wa kufatilia mavazi ya mtu??? Yani kila siku unaangalia kavaa ya rangi Gani???
ile chupi unayovaa wiki nzima acha hiyo tabia mara moja![emoji1]Wacha kuudanganya umma. Hivi kuna mwanamke gani kwa miaka ya sasa anayevaa nguo moja kwa wiki nzima. Hayo yapo kwa wanaume na mlio wengi ndio kawaida yenu.
Pia jizoweshe kufuatilia yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo utaumiza kichwa chako bure.
Na wakichukua mke wako humuoni tena. Kilasiku lazima achepuke. Nasikia kuna vijana wanapiga show hatareee. Kwasababu kazi zao ni kuoga kula na kukaa kijiweni.Hao si ndio wale wanaume wa vijiweni hawana shughuli za kufanya hivyo hiyo ya kumfuatilia huyo mdada ndio kaifanya shughuli.
Hahaa! Mkuu niombe radhi tafadhaliile chupi unayovaa wiki nzima acha hiyo tabia mara moja![emoji1]
Hawana utu ata kidogo. Na ndio hao hao wazee wa kubet.Na wakichukua mke wako humuoni tena. Kilasiku lazima achepuke. Nasikia kuna vijana wanapiga show hatareee. Kwasababu kazi zao ni kuoga kula na kukaa kijiweni.
Vitoto viko radhi kunywa mpaka viagra. Nasikia sio watu kabisa. Ukisikia mkeo kapitiwa mpe taraka mapema. Maana ukimwacha unajiandalia ugonjwa wa moyo. Ni bora kuanza kuzoea stress kwa kumpiga chini mapema kweupe. Kila mtu ale time zakeHawana utu ata kidogo. Na ndio hao hao wazee wa kubet.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila siku mnalazimisha wadada wa watu wavae vizur wajiheshimu,leo umekosa kuona upaja unakuja lalamika humu.View attachment 468696
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa! Mkuu niombe radhi tafadhali
Dahhhh.... Watu wana Kazi jamani.... Kuweka rekodi za mavazi ya MTU kila siku, wiki nzima, mwezi wote....!!! Tunapata wapi muda wa kutimiza malengo ya mwajiri na kampuni???Hii tabia baadhi ya wanawake kupendelea kuvaa nguo hizo hizo kila siku, haoni hasara kuvaa nguo kwa wiki nzima, inawezekana ukawa unaisafisha ukitoka kazini lakini bado haipendezi mwanamke kuvaa nguo wiki nzima dah inatia aibu sana, kama unaweza kuvaa nguo za nje wiki nzima chupi utakua unavaa miezi 6 kabisa.
Mfano huyu dada kila siku anapiga mapigo hayo hayo toka nianze kumfahamu, kila siku anapiga gauni nyeusi juu anapiga ushungi wake (habadilishi nguo) maajabu mengine utaona dada kama huyu nae anapanga foleni kwa mchungaji/shehe hapati mchumba, mchumba gani kila siku tunakuona unavaa manguo hubadilishi.
Dada kama na wewe una tabia kama hii badilika haraka sana kabla hujaanza kutafuta mchawi.
We umejuaje anarudia chupi?ile chupi unayovaa wiki nzima acha hiyo tabia mara moja![emoji1]
Acha kufuatilia yasiyokuhusu mama!![emoji23] [emoji23] [emoji23]We umejuaje anarudia chupi?