Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Tunajua kabisa kwamba hampendi kutumia condom kutokana na sababu mbalimbali, kuna wanaosema zinawasha, zinapunguza ladha na vijisababu mbalimbali visivyo na msingi.
Hatukatai basi kama hilo ni jambo ngumu kwenu msicheze rafu sana angalau muwe mnachukua tahadhari kidogo ikiwezekana mkacheki afya na wenza wenu kabla ya kuunganisha vikojoleo sio mnavamia tu wanaume mtakuja kufa kabla ya siku zenu.
Leo mwenzenu yamemkuta amekutana na wanaume watatu tofauti tofauti alafu wote bila kinga, nimemuacha pale kituoni analia,yamemkuta Makuu
Binamu