Dada zangu kueni makini

Dada zangu kueni makini

Ivi wakati huo unaipata wapi akili ya kuchukua Video? au mwanamke mzima unakubalije ujinga huo? sijui ni utoto au mie mshamba lakini apana, na mwenyezi mungu annusuru na aibu hiyo mie na kizazi changu na kila Binadamu..
Ni ulimbukeni tu,sa watu muache kula raha muanze kurekodiana mmekua wacheza ngono??
ushamba huu uishie huku huku 2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom