miami0101
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,336
- 1,275
Hivi inakuaje msichana unakua na boyfriend wako unamuamini mpaka inafikia hatua mkifanya mapenzi mnajichukua video??
Tena anayeonekana hadi sura anakua ni msichana, hapo inaonesha kwamba mwanaume ndio kashika kamera kwa mkono mmoja.
Wasichana msiwaamini maboyfriend wenu mpaka ikafikia hatua hii maana mkija kugombana na kuachana kwa chuki video mwanaume ataisambaza na mwisho wake ni aibu
Nadhan mshaona video hizi za kitanzania wengine wakiwa ni wanafunzi wa vyuo.
Kilichonishangaza ni Leo kuona Video ya mwaka 2014 ya zari thebosslady akiwa anafanya mapenzi na mpenzi wake kwa njia ya video, kumbe mwanaume aliirecord.
Wabongo kwa kufukua makaburi hawajambo
Wadada kueni makini