pole sana...uwe unauliza kwanza kabla ya kufanya hayo yote.MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?
Well, kupanga ni kuchagua/Hiyo hela sawasawa na mifuko mingapi ya cement?
na kushangaa sana ndugu yangu kuwa umeshindwa kujua huwezi kupewa mzigo usio uweza. ukiona ana kuomba haya yote lazima kakupima na kaona unawexza na atajuaje kama huwezi kama una nyamaza? muda mwingine tuna lalamika bure kumbe chanzo ni sisi. uneingia kwa gear ya pesa ukiombwa pesa una lamika pembeni. Mapenzi ni yako chaguo ni lako.[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]
pole sana...uwe unauliza kwanza kabla ya kufanya hayo yote.
Yaani unagharamia demi chini ya laki unalalamika? Ha ha ha!! Kizuri kina gharama!!! Kama unataka wa uwanja wa fisi wanapatikana kwa buku 1, 2. hadi 5. Dinner 20,000/= !!!!!!!! Ya watu wawili au mmoja? Dah kweli tuna upeo tofauti wa mambo!!! Ila ni vema ukatafuta wa kiwango chako ili usije kulalamika maana wenzio wanatumia hata kilo 3 bila kulalamika. Ila pia kama alikuwa ni girlfriend wa kudumu ina maana hata utaratibu wa siku zake unakuwa na taarifa nazo, na pia ina maana huwa hampangi kufanya hayo mambo au ni kushtukiza tu? Ungekuwa umemwandaa tangu awaali angekupa status yake!!! Hizo mobile na ipad si ndo kazi yake siku hizi? Yale mambo ya papo kwa papo yamepitwa na wakati!!! Pole kwa kukosa hiyo kitu mkuu ila siku nyingine jadilini kwanza ili usipate tena shinda iliyokupata kwa kuambiwa "niko kwenye siku zangu".
Pole sana ila NINGEKUWA MM???,,,,,,,HATA IVO MI MGUMU WA KUTOA KI2 PESA AKIJITAHD SANA ATAONDOKA NA BUKU MBILI ALAFU SIRUDII TENA ......KA KAWA JOKA KIBISA HALIUMI MARA MBILI!!!!!!!!!!
Haraka haraka haina baraka
Well, kupanga ni kuchagua/
na kushangaa sana ndugu yangu kuwa umeshindwa kujua huwezi kupewa mzigo usio uweza. ukiona ana kuomba haya yote lazima kakupima na kaona unawexza na atajuaje kama huwezi kama una nyamaza? muda mwingine tuna lalamika bure kumbe chanzo ni sisi. uneingia kwa gear ya pesa ukiombwa pesa una lamika pembeni. Mapenzi ni yako chaguo ni lako.
Ni haki kama hukumtaarifu kitakachoendelea
hakuna cha ukali wowote. wewe umeathirika kisaikolojia tu. its simply psychological presssure! HONGERA KWA KUTUMIA HELA KAKA, COZ ULIBAJETI, NA NAJUA UNGEMPA 50,000 BAADA YA GAME! Shit!
Hiyo hela sawasawa na mifuko mingapi ya cement?
huyo namlia timing, next time namnywea supu ya pweza, ugali wadona kilo 3 na mzizi wa mkuyati. napiga kuanzia saa 7 mchana hadi kesho yake asubuhi non stop
[h=5]MAFUTA YA GARI~20,000
VINYWAJI~12,000
DINNER~20,000
GUEST~25,000
Kisha anakuangalia usoni halafu anakwambia "Niko Kwenye Siku Zangu"
HII NI HAKI KWELI?[/h]