me napenda mwanaume bandidu, ukienda ndivyo sivyo anakukoromea. sio kila kitu ndio lolest!
duh! Umenikumbusha musoma-tarime.
Nyie tuchagueni tu hamjui hizo ni tabia za nje tu (watu wanavaaga ngozi za kondoo)...kugombana si mpaka uchokozwe bana...nani kasema mwanamume mpole hapigani?..mchukulie demu wake ndio ujue nguvu zake...By the way Preta naomba nikuwe mpenzi wako??...mimi ndiye yule Francis Cheka Bingwa wa UBO.O,WBA na WBF..umekubali eeh??..hapa ngumi jiwe!
asha kupenda biriani haimshurutishi kidawa kuchukia pilau, na wala haimzuii havintishi kupenda wali wa nazi.
Wanawake si kama mapera wafanane hadi mlalo wa mbegu zake.
asha kupenda biriani haimshurutishi Kidawa kuchukia pilau, na wala haimzuii havintishi kupenda wali wa nazi.
Wanawake si kama mapera wafanane hadi mlalo wa mbegu zake.