Dada yangu simuelewi

Dada yangu simuelewi

Hili jamaa limeandika nini aise? ila JF sijui tunaenda wapi
 
Umenikumbusha demu wangu mmoja alikuwa kilaza, nilikuwa nampiga sound za ajabu halafu anaamini. Siku ya mwisho/kiama wakireplay na kunisikilizisha zile sound zangu ntaona aibu sana.
 
Mbona hueleweki kwanza we ni me au ke kaa kwa upole uandike upia
 
Ndio maana kaamua kuja na ujio mpya wa kuongea kinge tu woiiiii nilikuwa sijammanya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambamba na kinge, ndo huyo kabisaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijambamba na kinge, ndo huyo kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haongei kiswahili hata yeye ni kinge mwanzo mwisho nikajisemea ujio mpya huu ni shida
 
Back
Top Bottom