Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,120
Hahahah dahyani sijaelewa kitu aisee we dada/kaka umekunywa mataputapu au chang'aa
Hahahah dahyani sijaelewa kitu aisee we dada/kaka umekunywa mataputapu au chang'aa
Mimi mwenyewe sijaelewa mara kaka mara dada! aisee!Kwakuwa mimi sijaelewa
nina uhakika hata shetani mwenyewe hajaelewa.
Mwanamke huwa anashindwa kutofautisha baina ya mapenzi na hisiya..Mhh nyie mnasoma kwa haraka sana..ila nimemuelewa ....Mtoa mada analazimishwa na dada yake kutembea na jamaa ambaye hamtaki
Lakini mtoa mada keshagegedwa na huyo msela, na ali elewa shoo
Tuna taka totoz nyingine peace kama weweSio tatizo mkuu, najiona mwenye bahati kuwa last born
Mungu ni mwema sana jamani!Jamboo kabisa mimi
Huh?!Mondray is the worst nightmare you ever met?
OohhTuna taka totoz nyingine peace kama wewe
Katika watu ambao nawaamini kuelewa mambo kwa haraka zaidi, wewe ni miongoni mwao my princess, ila kama umeshindwa kuelewa hata wewe, bas hii ngoma ni nzito tumuachie mtoa mada. Sisi tukaendelee na uzi wetu ule wa fundi maiko naona washauterekeza tayari.Mkuu umemaanisha nini eti jamani!
Leo ni noma sana😂😂😂😂 ukijulishwa, nijulishe na mimi,Ukielewa nijulishe mdogo wangu!
Lazima uwe na kikokotozi kipya ndio uelewe mambo haya, mi naendelea kusoma comment, nitaelewa kidogo kidogo,Hebu ngoja nitulize medula oblongata yangu nipate kumuelewa huyu fanani...
Katika watu ambao nawaamini kuelewa mambo kwa haraka zaidi, wewe ni miongoni mwao my princess, ila kama umeshindwa kuelewa hata wewe, bas hii ngoma ni nzito tumuachie mtoa mada. Sisi tukaendelee na uzi wetu ule wa fundi maiko naona washauterekeza tayari.






Ondoa shaka kabisaa my dear!! Lazima nikueleweshe!Leo ni noma sanaukijulishwa, nijulishe na mimi,
Nasubiri my princess...! hoping u mzima lakini.Ondoa shaka kabisaa my dear!! Lazima nikueleweshe!
Sijambo dearNasubiri my princess...! hoping u mzima lakini.
Mwenye namba yangu anitumie alichokielewa wasapu tafadhali.

Mpaka uwe na chura ndiyo utatumiwa!
Sina chura.
![]()