Mmmh mbona haya tunayajua? Inategemea ni mme wa aina gani acha kabisa ukipata mtu anaejitambua mbona unaenjoy? Kila mtu anapata fungu lake trust me kuna mchepuka unaweza kujali mke wa mje kuliko wa ndani na heshima ikafata mkondo wake, kaya haya yoteeee tunayajua nikipata anaendana na mie akuuuu tunatafunana na nikikuta ni msafiiiiiiii anajariiiii zile type zangu loh sumu ya mwanaume wa hivi wa aina hii lazima iniuwe ahaaaaa
Na wewe ni mume wamtu?Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Kwani dada yako mtoto?
Kama mtu mzima, anayajua yote hayo, na kaamua kuendelea hivyo, wewe kipi kinakufanya kuingilia maisha yake?
Kila mtu kivyake.
Unataka kumuoa huyo dada yako?
Au wewe ndiye unataka kuwa mchepuko wa mwanamme mingine?
Kwa nini unashikia bango habari za faragha za watu wazima wenzio?
Tabia mbaya hiyo.
Mimi nataka kukuoa wewe.Na wewe ni mume wamtu?
Haya njoo tuoaneMimi nataka kukuoa wewe.
Majibu yangu ni ya kifalsafa tu, hayawakilishi hali yangu ya kinyumba.
Kwa nini mtu mzima mmoja aingilie maisha ya faragha ya mtu mzima mwingine?
Sasa ungekuwa wewe ndo umrfanyiwa hivo ungejisikiaje??Mmmh mbona haya tunayajua? Inategemea ni mme wa aina gani acha kabisa ukipata mtu anaejitambua mbona unaenjoy? Kila mtu anapata fungu lake trust me kuna mchepuka unaweza kujali mke wa mje kuliko wa ndani na heshima ikafata mkondo wake, kaya haya yoteeee tunayajua nikipata anaendana na mie akuuuu tunatafunana na nikikuta ni msafiiiiiiii anajariiiii zile type zangu loh sumu ya mwanaume wa hivi wa aina hii lazima iniuwe ahaaaaa
ahaaaaaa ndo maisha kwa kuwa ni nadra kwangu walaaaaSasa ungekuwa wewe ndo umrfanyiwa hivo ungejisikiaje??
Hatuoani. Kiswahili hakina kuoana.Haya njoo tuoane
Sawa mwaaalimu!Hatuoani. Kiswahili hakina kuoana.
Mwanamme anamuoa mwanamke, mwanamke anaolewa na mwanamme, hakuna kuoana. Mimi nakuoa wewe.
Sema "njoo unioe", si "njoo tuoane".
Binafsi ninampongeza sana kwa kutoa thread nzuri nia njema ya kuimarisha Maisha ya ndoa,wewe km unaona amekuharibia hiyo ni Kimpango wako.Teh teh acha basi kutoa siri zetu mkuu ... Unataka tuwe tuna pumzikia wapi ??? Watu Kama nyie hamfai katika jamii mnaharibu mambo...π΅ππ³π±
uzi umekosa wachangiaji teh teh teh!
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Kwani dada yako mtoto?
Kama mtu mzima, anayajua yote hayo, na kaamua kuendelea hivyo, wewe kipi kinakufanya kuingilia maisha yake?
Kila mtu kivyake.
Unataka kumuoa huyo dada yako?
Au wewe ndiye unataka kuwa mchepuko wa mwanamme mingine?
Kwa nini unashikia bango habari za faragha za watu wazima wenzio?
Tabia mbaya hiyo.