Dada yangu madam Flora sasa ndio naelewa Ema ulimvumilia kwa mengi sana

Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.

Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.

Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
Wadau wanasema kwa jinsi alivyo sasa Emma ,akikupa kichwa chake unaweza ukavua nguo na kutembea uchi wa mnyama.
 
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.

Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.

Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
We utakuwa na hekima sana na jicho la pekee
 
Bado anaweweseka... Na ataweweseka maisha yake yote
Kuna visa alikua anamfanyia flora.. Nae flora kwa kumkomesha akambambikia kesi akafie huko

Ndo likawageuka
Mwanaume hueleweki.. Miaka zaidi ya kumi unalelewa na mke.. Unavishwa, unalipiwa kodi ya pa kuishi.. Mtoto ada analipa mke.. Matamasha ya flora ndo yanakuweka mjini
Unakula tu na kunya miaka na miaka
Wala hujiongezi
Ghafla unaleta kelele mara umtishe mara umpige.. Kwanini asiende kwa gwajima kuliwazwa
Kalea kinyago kwa mapenzi yote leo ghafla kinmgeuka kumtisha na kumfanya asiishi kwa amani. Na kinatumia ndoa kama excuse
Kwamba huwez kwenda kokote

Kwanini asikifyekee mbali
 
Wanaume tunavumilia yoote
haha..yani wa wanaume tunavumilia mpaka moyo unakufa ganzi alafu unasahau kama ni uvumilivu unajionea kawaida tuu....upande wa pili sasa....anavumilia mawili anayaweka moyoni na anakusema nayo mpaka akili iakukaa sawa
 
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.

Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.

Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.

Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.

Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
Ukiacha yote,jamaa huyo jamaa ni mshamba sana halafu ana mambo ya kitoto
 
Duuh!
This is not where I parked my car maana nimeambulia patupu. Sijaelewa hata moja zaidi ya lugha inayotumika.
 
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.

Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.

Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.

Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.

Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
Labda umechukua nafasi ya Frola imekufanya uandike hiki
 
Hivi mtoto wa Flora ni wa Gwajima kweli kama wananzengo wanavyosema?..
 
Back
Top Bottom