Dada yangu madam Flora sasa ndio naelewa Ema ulimvumilia kwa mengi sana

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,146
11,192
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.

Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.

Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.

Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.

Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
 
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako.

Kiukweli tokea umemkimbia kaka yetu Ema, Ni dhahiri yupo kama mtu aliyechanganyikiwa. Na sasa anaonyesha dhahiri tabia zake kuwa ni mbaya. Sasa amekuwa mtu wa kuropoka ropoka kule instagram.

Amekosa hekima, linalomjia ye anaropoka tu alafu anajiita baba mtumishi, inaonekana kipindi cha mahusiano ulimsitiri kwa mengi sana na ulikuwa ukimfunga speed governor na ndio maana alikuwa ni mtu mstaharabu na mkimya, lakini tokea uchukue uamuzi wa kumuacha kaka yetu amekuwa ni mtu asiyeeleweka, labda huenda anaanza kuchanganyikiwa taratibu.

Na kwa siyeamini aingie kwenye account yake ya instagram, kiukweli Ema amekosa hekima kwa sasa, mambo anayopost na maneno anayoandika hayafananii na cheo cha utumishi anachojipa,.

Kaka yangu bado mda unao rudi jiangalie na jirekebishe.
Huwa unamnunulia bando?
 
niliwai kutana nae Mwanza siku hizi za karibuni anajipiga mapicha tu kama mwana mitindo,mahotelini kule kando ya ziwa inaonekana kweli amedata na anahitaji kusaidiwa
 
Back
Top Bottom