Dada yangu madam Flora sasa ndio naelewa Ema ulimvumilia kwa mengi sana

Kazi kupiga picha mahotelini, yaani sijawahi kuona picha kapiga hata akiwa sebuleni kwake. Ukute kapanga ka chumba kamoja tv jiko kitanda hapo hapo.
 
Wanaume tunavumilia yoote
Wanaume uvumilivu wenu ni wa muda flan mkichoka mnatafuta kiburudisho ila wanawake tunauwezo wa kuvumilia maisha yote ya ndoa, na ndoa ni mwanamke sio mwanaume ,mwanamke akichoka akisema basi jua hakuna ndoa hapo ila mwanaume ukichoka mwanamke akiwa bado anakupenda na anaipenda ndoa yake hata umfanyie nini hatoki!!!
 
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake, usiongee usichokijua.

Jamaa ana msongo wa mawazo yule, hauhitaji ujuzi mkubwa kumjua. Yaliyomkuta yashamwathiri, hebu acheni kuhukumu kama Miungu vile.

Kavae viatu vyake, ndiyo utajua uzito wa matatizo yake
Yeye ndio wa kwanza kwani??
 
Tulivumiliana sema tu mwanaume kumsifia mwanaume mwenzie bila masilahi si kawaida.
 
Back
Top Bottom