sisi wasukuma binamu huwezi kumuoa hata kwa ng'ombe nyingi kiasi gani, utamweka wapi hiiiiiii kama unataka upigwe faini jaribu jambo hilo hutarudia kafanya
Kitaalmu haifai utazaa Watoto wadumavu na matizo ya akili ,
Hiyo haifai hata kwa wanyama usijaribu Kama kweli huyo mjomba ni kaka wa Damu wa mama yako .
Mama yako damu zinaingiliana? Mtoto wa shangazi unaoa coz sio damu yenu damu yenu ni shangazi tu mtoto wake ni damu nyingine hivyo hivyo mjomba sio damu yenu
Mama yako damu zinaingiliana? Mtoto wa shangazi unaoa coz sio damu yenu damu yenu ni shangazi tu mtoto wake ni damu nyingine hivyo hivyo mjomba sio damu yenu
Kujaamiiana kwa maharimu(incest) ni msingi wa kuwa na watoto wenye ulemavu hasa mtindio ubongo. Kuna baadhi ya jamii inaruhusiwa ila kisayansi hushauriwi kufanya hivyo
Huwezi vunja undugu na shangazi ukioa mtoto wake au mjomba jina utalomwita ni sawa but kuoa binamu ni sawa kwani mtoto wa shangazi yako au mjomba wako sio ndugu yako