Dada yangu anataka tufunge ndoa

Kama wewe ni muislam basi muoe tu ila usimchezee na kumwacha. INSH'ALLAH
 
Binamu nyama ya hamu..kumbe unapiga k kimtindo hahaha..achana nae tafuta mwingine kama baba yake ndio kakupa support ya maisha..
 
We tia Mimba mchukuane tu hamta oana maana nyie mnaona sawa ila wazee wenu watapinga maana wao misingi ya malezi walivyo lelewa hicho kitu hakiruhusiwi
 
Kwa hiyo ujasema umeshangonoka Mara ngapi? Knee uliza uliza kama mnaruhusiwa
 
Angalia wema alo kufanyia baba yake hustahili kumlipa malipo ya mimba kwa bint yake kifupi kwa waislam mtoto wa shangazi unaoa cha kukushaur fuaten taratibu ikiwemo kuwashirikisha watu wazima ili muwe halali mi sidhani kama mjomba wako atakataa ila huo mpango wako wa mimba kwanza utakukost
 
Asilimia kubwa kweli kabisa,ukioa mtu mwingine kua na genes zenye shida wote ni coincidence ila ukioa ndugu ni must.usioe ndugu
 
Angalia wema alo kufanyia baba yake hustahili kumlipa malipo ya mimba kwa bint yake kifupi kwa waislam mtoto wa shangazi unaoa cha kukushaur fuaten taratibu ikiwemo kuwashirikisha watu wazima ili muwe halali mi sidhani kama mjomba wako atakataa ila huo mpango wako wa mimba kwanza utakukost
. Naungana na mwenye ushauri huu fata utaratibu wa dini yetu km mzazi atalikubali tu
 
Ujajua tena? Kama linaruhusu oaneni kama haliruhusu kaa pembeni na huyo baba kwann anakuita hivo usikute anajua kinachoendelea Sema uoga wenu tu.... Nawe mtanie umsikie atasemaje
Baba mkwe bhana, mpaka Leo bado mtata !!!! Wakati wa ujana wako c ulikiwa balaaa!!?
 
Unataka tukushauri uendelee kuzidi...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…