Dada yangu ana wivu wa kimapenzi dhidi yangu. Ushauri tafadhari

We jamaa lazima uwe unapiga nyeto, halafu huna demu. Unamtamani dada yako sema unamtungia stori rubbish
 
Ni watoto wa baba mmoja ila mama tofauti, yeye ni kutoka kwa mama ambaye ni mke mkubwa wa baba yangu. Na mimi ni mtoto wa mke mdogo. Tunazidiana miezi miwili

Lakini ni miezi miwili sasa dada yangu kabadilika ghafla. Kwa mara ya kwanza tulikuwa sebuleni mida ya usiku tunaangalia taarifa ya habari muda huo nachat na my babè huku natabasamu, ghafla akaniuliza "unachat na nani anayekupa raha kiasi hicho?" nikatikisa kichwa kuonesha kukataa. Dakika chache nikaenda kukojoa. Niliporejea namkuta kashika simu yangu anasoma sms, ile kumnyang'anya akatia ugumu akakimbia nayo chumbani kwake.

Kesho yake mida ya saa 12 jioni wakati tumekaa sebuleni muda huo umeme umekatika akachukua simu yake na kumpigia babè, kumbe alichukua namba yake, na kuanza kuzungumza naye kunihusu mimi kama marafiki vile, huku kaweka loudspeaker na kucheka sana.

Wiki moja baadae, huyo babè kanipigia na kunambia kuwa dada yangu anamtukana sana na kusema aachane na mimi, ndipo kwa hasira nikamfuata na kumkalipia, dakika chache baadae nilimkuta kitchen akiwa analia.

Nowdays nikitaka kutoka out, anapatwa na ganzi, kitete, wasiwasi kisha kuuliza unaenda wapi? mara "twende wote", keshaninunulia fulana na raba za kutosha humu ndani. Nikiongea na simu nisipokuwa makini ataninyakua na kuzungumza nayo. Kuna kipindi aliingia chumbani kwangu ghafla akiwa kajifunga khanga mida ya asubuhi na kudai kuwa kajisahau ana mawazo mengi kisha kuondoka!

Tatizo hasa litakuwa ni lipi wanajukwaa?
nipe nambay ya dada yako mkuu ni pm tafadhal.🤣
 
Haya ndio matatizo ya kuchanganya damu za watoto. Sasa kuna uwezekano mkubwa huyo binti baba yenu akawa sio m'moja. Aidha wewe huyo si baba yako au yeye si baba yake.

Damu huwa hazivutani hivyo lazima kuna kaukakasi katakuja tu.

Okay, ila inaonekana dada yako yupo kwenye heat anataka kupandwa. Sasa anashinda ndani sana hakuna kidume cha kumpanda hapo ndani.

Mtoto kashavunja ungo huyo. Ukitoka uwe unatoka na dada yako akaonane na vidume upate shemeji awe anampa dozi yake ya mwezi utaona anarudi kuwa sawa.

Sasa unamfungia dada yako na ameshakuwa mkubwa hivyo anataka kupandwa mnaficha shauri yako. Mkiendelea hivyo utashangaa siku kakutimbia chumbani anakuvulia nguo anataka umpelekee moto kwa nguvu sijui utaweka wapi sura yako.
 
Ni watoto wa baba mmoja ila mama tofauti, yeye ni kutoka kwa mama ambaye ni mke mkubwa wa baba yangu. Na mimi ni mtoto wa mke mdogo. Tunazidiana miezi miwili

Lakini ni miezi miwili sasa dada yangu kabadilika ghafla. Kwa mara ya kwanza tulikuwa sebuleni mida ya usiku tunaangalia taarifa ya habari muda huo nachat na my babè huku natabasamu, ghafla akaniuliza "unachat na nani anayekupa raha kiasi hicho?" nikatikisa kichwa kuonesha kukataa. Dakika chache nikaenda kukojoa. Niliporejea namkuta kashika simu yangu anasoma sms, ile kumnyang'anya akatia ugumu akakimbia nayo chumbani kwake.

Kesho yake mida ya saa 12 jioni wakati tumekaa sebuleni muda huo umeme umekatika akachukua simu yake na kumpigia babè, kumbe alichukua namba yake, na kuanza kuzungumza naye kunihusu mimi kama marafiki vile, huku kaweka loudspeaker na kucheka sana.

Wiki moja baadae, huyo babè kanipigia na kunambia kuwa dada yangu anamtukana sana na kusema aachane na mimi, ndipo kwa hasira nikamfuata na kumkalipia, dakika chache baadae nilimkuta kitchen akiwa analia.

Nowdays nikitaka kutoka out, anapatwa na ganzi, kitete, wasiwasi kisha kuuliza unaenda wapi? mara "twende wote", keshaninunulia fulana na raba za kutosha humu ndani. Nikiongea na simu nisipokuwa makini ataninyakua na kuzungumza nayo. Kuna kipindi aliingia chumbani kwangu ghafla akiwa kajifunga khanga mida ya asubuhi na kudai kuwa kajisahau ana mawazo mengi kisha kuondoka!

Tatizo hasa litakuwa ni lipi wanajukwaa?
Aisee
 
Back
Top Bottom