mletauzi akiliyako haina akili hebu jiulize na ujijibu hiliswali dogo sana mbona mtoto wa nyerere yuko upinzani,ilihali babayake alikua mwenyekiti na mwasisi wa ccm ?
Aende tu kwa hao magamba alidhani akiwa chadema mbowe atampacheo kwasababu ni dadayake kama wanavyofanya magamba?
Sizitaki mbichi hizi........Kwenda mwana kwenda....
Hakuna mtoto wa Mwl. Nyerere ambaye yuko kwenye chama cha upinzani Tanzania. Validate your fact properly.mletauzi akiliyako haina akili hebu jiulize na ujijibu hiliswali dogo sana mbona mtoto wa nyerere yuko upinzani,ilihali babayake alikua mwenyekiti na mwasisi wa ccm ?
Aende tu kwa hao magamba alidhani akiwa chadema mbowe atampacheo kwasababu ni dadayake kama wanavyofanya magamba?
Ni kweli kabisa kwa sababu kuna virusi wengi ndani ya CHADEMA.Kila la kheri, kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo!
Tatizo wala huhitaji kufungua macho kuona kama undugu ndani ya CHADEMA ni mtaji kisiasa na kiuchumi kama vielelezo vinavyoonyesha hapa.mletauzi akiliyako haina akili hebu jiulize na ujijibu hiliswali dogo sana mbona mtoto wa nyerere yuko upinzani,ilihali babayake alikua mwenyekiti na mwasisi wa ccm ?
Aende tu kwa hao magamba alidhani akiwa chadema mbowe atampacheo kwasababu ni dadayake kama wanavyofanya magamba?
Hakuna mtoto wa Mwl. Nyerere ambaye yuko kwenye chama cha upinzani Tanzania. Validate your fact properly.
Kwenda mwana kwenda....
Mwigulu nadhani ni wakati muafaka uache kumtumia yule mhanga wa tindikali. Unaweza kumtumia huyu mgeni wenu mpya
Hahaha hahaha hahaha hahaha umenikumbusha dawa ya mwigulu mchemba ni jesca kishoa hahaha hahaha hahahaUmepotea sana humu jamvini tangu Taarifa za Dawa za kulevya zipambe moto tutazianzisha tena ili ukimbie jumla kumbe hii ndio dawa yako