Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA HALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI...
Hii si motherboard ya PLC tunaitumiaga kuprogramm automated robotsnimeona nipost na kapicha kidogo..kuweka msisitizo
Ndy wanawake wanaovaa wigi..wako hivyoHii si motherboard ya PLC tunaitumiaga kuprogramm automated robots
Haahahahahhahahahahhahhhha Ila hako ka tabia sina siku hizi baada ya kunyoa uparaaaa!!!YAAN WADADA WA SIKU HIZI BHANA, UNAKUTA YUKO BAFUNI ANAOGA HALAFU NYWELE KAZIACHA CHUMBANI...