FLAVOR
Senior Member
- Jun 13, 2012
- 138
- 49
Nimewahi kutoa thread kama mbili tatu za uhitaji wa wadada wa kazi. Naomba kuweka wazi yafuatayo, mimi siyo agent, ila baada ya mafanikio thread ya kwanza na kupata mdada anayeelewa kazi, ndugu wa karibu wamekuwa wakiniomba niweke tangazo ili kuweza kuwafikia wahusika haraka, na kuwawezesha nao kupata wasaidizi.
That being said, usicomment upuuzi kama ww si mhitaji.
Anahitajika msichana wa kazi Dar es salaam, Kigamboni, eneo la tungi. Mimi ndiyo naorganize usafiri. Sikutumii pesa, naorganize na mabasi yanakuleta Dar, unapokewa kuelekea Kigamboni kama malkia. Usafiri kutoka hapo hadi kituo cha mabasi utatumiwa.
Wanahitajika wasaidizi wawili
Mshahara ni maelewano/ negotiable.
Wasiliana na mimi kupitia 0719206920/0627410415
Unaweza kutuma msg ama tafadhali nipigie kama mambo si pouwa