dada utamtokeaje mvulana uliyempenda?

Aisee hata mimi sijawahi kupata wa kunitongoza nikimpata sitampuuza kabisa maana nitaona ana nia ya dhati
 
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?

Mimi binafsi enzi zile natafuta mtani wa jadi nilipenda sana nitokewe lakini kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Ilifika wakati ikabidi tu niwajibike.
 
Noma mnoo,yani sijui hawanigusi mimi ,atakaye nigusa huyo binti ntacheka sanaaa
 
Da utafikri uko moyoni mwangu.da i love the guy and i do rarely fall.Only that the family are very close and best fiend of my brother,he likes to call me like her sister but hapendi nikimpigia.a ngoja nisubiri miracle

witchstone........verses
 
Tatizo mara mnatia hewani ,,s mnajijua.wanaume ,,mumezzoea vya kupopoa s vya kuokota
 
Slaker huo ni Mtazamo wako sijawahi na sitakaa nifike huko in my life time

no,i meant hzo verses i read them ktk hicho ktabu knaitwa witchstone........nothng else mkuu Jeneteke
 
Last edited by a moderator:
Jaribu njia hizi:
1. Ukikutana naye njiani hakikisha mnaposalimiana unamshika mkono na kuu-hold kwa muda mrefu kiasi. Hii isipopeleka ujumbe jaribu nyingine.
2. Kila unaposalimiana naye hakikisha unam-hug, hug la nguvu mpaka chuchu zako zinagusa kufua chake. Midume wengi ni wachovu sana linapokuja suala la chuchu. Hii lazima itapeleka ujumbe. Isipopeleka ujumbe jaribu;
3. Unamkonyeza kwa jicho la mhaba unaposalimiana naye. Na hii isipofanya kazi basi ujue umepigwa chini.
 
Mmm! Hiyo no 2 ni ya kinadharia zaidi. Hivi inawezekana binti kwenda mbali hivyo? Labda wawe wamezoeana sana na jamaa. Hizo zingine, poa.
 
Wewe ni veteran wa kuchakachua.......kabla hajakuanza tayari umeshamtongoza....Wakati mwingine jifanye saint utatongozwa tu.
Mkuu platozoom kabla sijaanza kuchangia napenda kuunga mkono hoja yako asilimia 100. Tabu ya cc vidume bwana, demu ndiyo kwanza anakulia timing wewe umeshaanza ku-date lunch mara dinner yaani full mpapatiko. Matokeo yake demu anakuona kicheche mzoefu wa kuchunwa tu.
 
Mmm! Hiyo no 2 ni ya kinadharia zaidi. Hivi inawezekana binti kwenda mbali hivyo? Labda wawe wamezoeana sana na jamaa. Hizo zingine, poa.
Kama unaifahamu familia yake jaribu kuwa karibu na wazazi wa jamaa kuwasaidia kazi mbalimbali za nyumbani ipo siku wazazi wa jamaa kwa kuzoea watakuja kuwaacha wenyewe wawili tu hapo nyumbani, ikitokea hali kama hiyo maliza biashara kwa kumkalia mikao ya nataka sitaki lazima ujumbe utafika tu, asipokubali huyo kuku mtamu.
 
Maneno na Vitendo utawajua Tu Ingawa huwa ni Waoga sana kumface Ampendaye

¤ Kwanza kwa yule Jasiri kidogo atakuomba namba yako

¤Pili mwanamke siyo wa Papara kusema anakupenda. Akishakuomba namba atafanya Mazoea nawe na Story za kawaida. Ingawa Vifuatavyo ni Common, . Good Morning, Karibu tule, Gd nite akikuzoea atakuambia kwa utani "KARIBU TULALE" n.k

¤ Atakuwa anakuchunguza kama unampenzi kwa Maswali ya kichokozi chokozi

¤Swali hili ni common kama amekuzoea. HUWA UNAJISIKIAJE KUWA NA MIMI? Ingawa mpaka aliseme inabidi achukue mpaka Nusu saa na Aibu za kutosha

¤ Akiona kuna Msichana anakumendea mendea. Hapo lazima Atamke kuwa Anakupenda
 
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?

Ni mbaya sana kumpenda mtu halafu humwambii, mwambie akikataa si basi achana nae. Kwa sisi wanaume tukipenda some time tunazingua ila naamini kwa mwanamke atokee tu mwenyewe akwambie anakupenda ni dhahiri kabisa kuwa hatanii. Kwa hiyo mimi naona sio vibaya kama kweli umempenda mwambie tu, na kama anahitaji mtu hawezi kataa
 
Heeee! Makubwaaa haya. Kumbe yanafundishwa!.
Yalinikuta haya nilipokuwa darasa la pili. Nilitokea kuzimikiwa na mtoto mkali class halafu kwao mambo safi. Wakati huo sijui hata kutokea kunaanzia wapi wala kunaishia wapi. Mguuni sina hata kandambili. Yaani kila siku wa kuletewa zawadi nilikuwa mimi. Akiona naongea na mwingine bifu lazima litokee. Kama ni makundi lazima awe kundi moja na mimi, tukiruhusiwa kurudi nyumbani lazima nipate kampani hata kama ya mita mia...... (Network zilivoanza kurudi nilipata shida sana kuelewa jambo lile, kwamba iliwezekanaje katika umri ule!!?)

Sasa najiuliza hivi alikuwa na hisia za kimapenzi au basi tu upendo wa kawaida wa kaka na dada. Kama ni huo wa mwanzo maufundi hayo aliyatoa wapi.....!!??
 
Kwa sasa wewe njoo tu straight na uteme sera zako. Huhitaji kung'atang'ata maneno wala kupepesa macho. Nitakuelewa mara moja na kukupa jibu hapo hapo. Sitakuona ni mtu wa kujirahisisha bali mwenye msimamo na unajua unachokitaka na unataka unachokipenda (50 kwa 50). Muda ni mali huhitaj kupoteza muda kusiko kwa lazima.
 
Kuna dada aliniambia ana maongezi binafsi na mimi nikamwambia aongee muda huo kwa kuwa mi nina aibu ntashindwa kuongea nae laiv ilikuwa kwenye simu ndio akaniambia ananipenda sana kwa ukwli nlimpenda pia tumepotezana yapata 5yrs now were are u p?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom