Dada unapiga kelele kama unachinjwa

Not wife exactly ni my mtarajiwa..sasa akahisi naweza nikachepuka hali hyo ikijitokeza na yeye hayupo !! Maana makelele mengine sio kabsa, lazma fimbo ya Musa ishtuke.

Ikishtuka unamwita mwenye kinu unakuja kutwanga
 
Ndio hivyo, huyo mwanamke kwanza anavyoni chunga/nifatilia sihemi nakwambia. Ye wakat wote ananihisi tu vibaya. Simlaumu sana ni haki yake.
ukiona hivyo jua yeye ndiyo anafanya kwa kuwa unampendausichunguze just cool as long as unapata haki yako
 

Hahha. Lol
 
...bila kumsikia akigugumia huwa siamini kama imemfika sawawa...!!

Hapo ndo chanzo cha kuibiwa kwa kelele sasa...unatoka hapo bichwa hilo unajua leo kidume nimepiga shoo ya maana kumbe mwenzio walaaa
 
Labda anaombewa na pasta gwaji...!



Umeniwahi mkuu....Gwajima kwa kuombea wake za watu ni noma. Utashangaa anakuombea then unakwenda mwenyewe kujifungia kwake kumsubiri. Akirudi safarini anajibindua kinoma kama hana akili vile kisha anakutafutia mwanamme wa kanisa lake akuoe, then yeye anakwenda kuharibu ndoa ya muumini mwingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…