Dada una sura nzurii.....

Kwasababu uko mbali ndio mana unatuletea visa..
Mrungu Ekuvona..

Aahahahahahahahaa Mrungu anivona sana, hethina visa, Kasie ndo yuko hivyo hehehehe.
 
Aise nipo Berea joburg Upo maeneo gani hapo ili nije kuhakiki kama kweli au alikufanyia uzushi tu
 
Sio wadada wote tusiowasifia wenzetu,mm ni mmojawapo sionagi taabu kumwamba ww Dada mzuri au kapendeza
 
Aise nipo Berea joburg Upo maeneo gani hapo ili nije kuhakiki kama kweli au alikufanyia uzushi tu

Ntakutumia location ya nilipo PM au ntakwambia jumamosi tukutane Mandela square mida ya lunch.
 
Unaishi wapi kwa mfano?
 
Nimejikuta nimesoma page zote,si kwa majibu yako mazuri,sio tu mzuri ht akili ni kubwa
 
Kasie...Kumbe wewe wa nyumbani!!!

Naona umetupia 'Chasu' hapo. Kwanza shikamoo, and you really are a Beautifull woman.

kaa henyu ni hiyo?

Haiyee, namanya chathuu kidorii, imi ni mcharoo si mwathuu.

Marahabaaa and thanks for the compliments.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…