My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Asante kwa kunisimangaa dah!neno kibonge limeniTOUCH SANAAA
Jamani
Haha give her time labda ana stress za Maisha ...are you kibonge? Am sorry jamani Sometimes Nyie Mnazingua mnayatakaga wenyewe
kweli vile ni chibonge
Anasema she Understands her own ways of Living ambayo ina mpa furaha. Amejikeep away from Love. Being not interacting Cure her Soul blah blah kibao
.
Unajua sio mbaya kusoma vitabu lakini Side ways zake kwa mtoto wa kike ni Kama hizo, anaeza akaiskia ndoa kwnye Bomba tuu, pia mindset aliyonayo inawez kua tatizo ndani ya ndoa yake, kuji-Equalize na Mwanaume na nk nk
I'm on that good kush and alcohol
Hahahahh Alaf sio kwamba namtaka hapana nafahamiana nae tuuHaha give her time labda ana stress za Maisha ...
Once you're hurt unatokea kuchukia kabisa masuala ya mapenzi .
Mkuu badili kwanza avatar yako hyo,usikute ndo inakukosesha totozKuna mmoja nammendea hapa ila naona kama vile hanisomi, ngoja nihamishie majeshi kwingine labda kitaeleweka.
Itakuwa eeh,Mkuu badili kwanza avatar yako hyo,usikute ndo inakukosesha totoz
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh ni kweli mahusiano yana faida maana unapata experience zaidi .Hahahahh Alaf sio kwamba namtaka hapana nafahamiana nae tuu
Una Experience nini, Pole if you have been hurt
I'm on that good kush and alcohol
Anaweza kuwakubalia wote huku akiendelea kuwachunguza kabla yakuwatunuku penziUnaujua wastani wa wadada kutongozwa kwa siku? Imagine watawakubalia wangapi kila wakitongozwa
Wote wape jibu la NDIYO huku ukiwa unawachunguza ni yupi yuko tayari kukuweka ndaniSema utakubali kwa watu wangapi? 🤦🏽♀️ Acha nkajibu zile message aiseee🤣🤣🤣
ha ha ha ha baadaye atakuja atafute mtu wa kumpa ujauzito tuHahahahh wanawake bhana
Kuna mmoja hivi kana miaka 23 Anajifanya ana misimamo yuko bize ana soma vitabu vya maisha, Sasa vimemharibu ana act kama mtu mwenye misimamo. Yani anajifanya yuk Serious kishenz, tinted mda wote hana mda na simu yani, Nimempa miaka miwili tuu atakuja na Bango Humu
Bad Enough ni kibonge dah
I'm on that good kush and alcohol
Kama wewe ni kibonge jitahidi uwe unajipitisha pitisha kwa mabahariaAsante kwa kunisimangaa dah!🤣🤣🤣🤣🤣 neno kibonge limeniTOUCH SANAAA😂
Na wote uwape papuchi au?Wote wape jibu la NDIYO huku ukiwa unawachunguza ni yupi yuko tayari kukuweka ndani
Umeshatufikia..UJUMBE UWAFIKIE WAHUSIKA
Mpatie yule unayeona ana malengo ya kudumu na wewe,na umpatie kweli mpaka apagaweNa wote uwape papuchi au?
ha ha ha akikua ataacha mkuukuna mmoja nimemfatilia sana aise, mara anichukie, mara aniblock, mara ale pesa zangu kizembe tu, nikawa najipa matumaini huku nikiamini mke namtafuta.....ikawa kila ninavozidi kumzoea nikaona ni mtumiaji zaidi, sio kama anavojichukulia, "you know", zinakua kibao wakati umri unaenda.....
nikaona moyo isiwe shida tulia kwanza man, kuna wengine hautumii nguvu kama yeye......humo ndani full kuweka mpaka vipengere vya GPA na wakati masuala ya kusoma tushamalizana nayo..........
saiz akija kuniongelesha nasikia tu "namimi nitapata tu wa kunioa", namwambiaga endelea kutafuta mama, wanaume wapo kibao
wengine mnaonewa huruma afu nyie wenyewe hamjitambui pumbavu zenu, unataka mwenye gari wakati baba ako kapaki ndala nje ya mlango
Mbona wanaolewa mpaka mke wa nne,kuna shida gani? Waume za watu ndio wenye uzoefu na wanajua kulea.Kwahiyo nikitongizwa na mume wa mtu nae nimkubalie? Kuna vitu muwe mnafikiria kabla hamjaleta mbele za watu. Binti mdogo nijiwekee nuksi za kua side chick? Excuse me
Sent From Galaxy S20 Ultra
Dah! Kuna mmoja mwaka jana nikiwa katika kusaka maisha, nikamuona nikamuelewa; sikuvunga nikamsomesha akaelewa. Nilikuwa seriously kabisa kwake. Akauliza kama niko seriously nikamjibu "Wewe kubali niku- surprise tukio la maisha yako".Kutokana na wadada wengi kutokuolewa au kutokupata wachumba kutokana na upungufu wa wanaume imekuwa ni tatizo kwa jamii.
Inawezekana labda kukosa mume/mchumba ni kosa alilolisababisha yeye mwenyewe kutokana na kuchagua chagua au laa. Lakini hii hali imekuwa ikiwapa msongo wa mawazo, na kutokuwa na uhakika wa kesho kama ataitwa mke au laa. Ili kujinusuru na hii hali kwa wadada wanaojitambua, usizuie kutongozwa atakayekutongoza yeyote usijifanye mjuaji, we msikilize, mpe matumaini, mkubalie kwa mazingira ya kusomana kwanza na pia uwe mchangamfu.
Hapo lengo lako litatimia sasa wewe uko single, unakuwa jeuri, ukipigiwa simu hupokei, ukitumiwa meseji hujibu, akikutumia tena ujumbe unam-block . Sasa hapo una mkomoa nani? Kama uko single mdada ukitongozwa kubali lasivyo utazeeka bila mume au ukiwa single M.