Kolonaπ
View attachment 1426108
πππ, vzr na tahadhari zaidi,Maana ukileta utani watu wanaanika maturubai.
View attachment 1426108
πππ, vzr na tahadhari zaidi,Maana ukileta utani watu wanaanika maturubai.
Siyo danga ni dongoπ
No yangu hiyo hapo juu.
Heeπ³π³
Nitumie namba inbox na mimi nikupate hata salaam tuHee[emoji15][emoji15]
Hata hapa tunaweza kusalimiana mkuu, habari ya huko ulipo?
salaam inanoga mkiwa faraga bila wambeya kushiriki chochoteHata hapa tunaweza kusalimiana mkuu, habari ya huko ulipo?
Kwahiyo great thinkers ni Wambea?, we salimia tu haina shida
Sio wambeya mama, vitu vingine ni secret, naweza nikafunguka kwa wanaonijua kama mwanakondoo aendae kuchinjwa wakashangaaKwahiyo great thinkers ni Wambea?, we salimia tu haina shida
Ooh kumbe kuna vitu nyuma ya keyboard unaogopa utaumbuka eeh?.sitaki mimiπSio wambeya mama, vitu vingine ni secret, naweza nikafunguka kwa wanaonijua kama mwanakondoo aendae kuchinjwa wakashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu ni Muhaya kabisaa ππ........Halafu ni kama bahati mimi si mtu wa daladala nimeacha kutumia daladala toka mwaka 2014 gari yangu ilipata matatizo kuna dogo huwa namtuma sana kunichukulia baadhi ya vitu aliligongesha hivyo ile siku tunakutana Cathy nilikuwa naenda shughulikia suala hilo......