Dada muonee huruma shemeji

Unaonekana ni mshauri mzuri sana, ila tatizo lako jeuri, ushauri wako ni muhimu pia, tiririka tafadhali, unafikiri anahitaji mtaalam wa afya ya akili kati ya dada yetu na mume wake?
Unachoona ujeuri pengine ni "tough love" tu.

Hujawahi kukutana na mtu anakufanyia inda kwa sababu anakupenda?
 
Sio za kaka ni dada na shemeji, ndio maana nasema umekurupuka hujasoma ukaelewa
1.Kuingilia ndoa ya mtu mzima mwenye akili zake ni kazi sana.

2. Kama umempenda sana ndugu yako na unaona kuna haja ya kuingilia, sehemu husika ni vikao vya familia.

3. Kama umeleta hapa ili upate ushauri, ushauri wangu ndio huo, habari hii itafaa kuwapata wazee wenye busara na kukaa vikao vya familia, kama kuna muafaka wa kufanya hivyo kutoka kwa wenye ndoa.

4. Zaidi ya hapo onesha mfano wewe kwenye ndoa yako.

5. Samahani kama nimekubwenga visivyo, simakusudi, ni kuwekana sawa tu.
 
ndio maana nimesema unaonekana una ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom