Dada muonee huruma shemeji

Aisee huyo shemeji yako sio wa anga hii. Na hayo yake ni yale mahaba niue.

Ila yote kwa yote kama ni kweli huyo dada yako anahitaji washauri aisee sababu sio kwamba anamkomoa shemeji yako pekee bali na yeye pia anaidhohofisha afya yake kwa ngono za mara kwa mara tena na huku anao mmh.
Haha atakuwa na kaugonjwa kitaalam kanaitwa 'Hypersexual disorder' anahitaji ushauri
 
Sina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.

Familia yenu ina matatizo makubwa zaidi ya huyo shemeji yenu.
Umekurupuka sana pole
 
Ingependeza zaidi kama familia nzima mgetafuta nasaha jamii kutoka kwa mtaalamu wa afya ya akili.
Unaonekana ni mshauri mzuri sana, ila tatizo lako jeuri, ushauri wako ni muhimu pia, tiririka tafadhali, unafikiri anahitaji mtaalam wa afya ya akili kati ya dada yetu na mume wake?
 
Back
Top Bottom