Dada muonee huruma shemeji

Dada muonee huruma shemeji

Hawa dada wengine utafikiri wanataka kuolewa wao na kaka zao.

Mtu kaka yako ana matatizo kwenye ndoa yake, badala ya kufanya vikao vya familia myamalize katika familia, unaleta JF.

Kama si umbea ni nini?

Ni umbea mkuu, angekua anajielewa badala ya kuja kubwabwaja huku angekaa na wanafamilia kuokoa hiyo ndoa ya kaka yake!!
 
Hawa dada wengine utafikiriwanatakakuolewa waona kaka zao.

Mtukaka yako ana matatizokwenye ndoa yake, badala ya kufanya vikao vya familia myamalize katikafamilia, unaleta JF.

Kama si umbea ni nini?
Uje ujaribu uone moto wake
 
Uje ujaribu uone moto wake
Sina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.

Familia yenu ina matatizo makubwa zaidi ya huyo shemeji yenu.
 
Amekata tamaa ya kuishi kwaio sasa anafa nya atakalo..
Vitu viwili hapa mpelekeni kwenye MAOMBI au COUNSELLING ..
 
Aisee huyo shemeji yako sio wa anga hii. Na hayo yake ni yale mahaba niue.

Ila yote kwa yote kama ni kweli huyo dada yako anahitaji washauri aisee sababu sio kwamba anamkomoa shemeji yako pekee bali na yeye pia anaidhohofisha afya yake kwa ngono za mara kwa mara tena na huku anao mmh.
Best haya mapazia ama mageti tunayoyaona tukiwa tunapita huko mjini kwenye nyumba yanaficha mengi sana
 
Hawa dada wengine utafikiriwanatakakuolewa waona kaka zao.

Mtukaka yako ana matatizokwenye ndoa yake, badala ya kufanya vikao vya familia myamalize katikafamilia, unaleta JF.

Kama si umbea ni nini?
Sema hao ndugu wa huyo dada wanataka kuolewa na shemeji yao
 
Sina muda mchafu huo. Mimi kwetu kaka mkubwa na sina ujinga wa kutaka wadogo zangu waniogope. Niko super approachable.

Familia yenu ina matatizo makubwa zaidi ya huyo shemeji yenu.
Hivi mlalamikaji ni ndugu wa mume au ndugu wa mke? Nitakuwa sijaelewa vizuri
 
Wacha kabisa best na lait siku moja ikatokea zikazungumza hapatatosha sababu hatutaweza kuangaliana mara mbili kwani yaliyomo mengi ni mazito mno.

Mzima lakini?
Mimi mzima my best ..nmetaka nkusalimie vizuri kule si nmekutana na [emoji357]
 
Kaongeeni na kaka yenu.

Hapa JF itakuwa riwaya au uzushi tu.

Mie nashangaa hakuna hata mtu anaemfahamu huku JF, yeye mwenyewe aliyeandika hatumjui wala kumtambua, itakuja kuwa huyo shemeji yake?

OP

Msela piga hela mpaka ipande machela shika kama Dr Shika kisha ifungie jela isitoke hata kwa tela. itapendeza
 
Back
Top Bottom