Mtu hawezi kuibuka tuu kukupa ushauri wa kutafuta mchepuko wa kukutuliza moyo kama hajui moyo wako haujatulia?! Hao ni mashosti na lazima wanajuana na wanajua jinsi ya kukukama
green rajab Inawezekana kabisa huyo mke wenu anachepuka haswa sasa anahitaji kujisafisha
Poleni mwayego
Huyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoa
Hahahaaa siku atakayofuata huo ushauri hatokaa akuambie, ila ipo siku... Anayeweza kutuelewa wanawake ni Mungu tuu😃😃😃
Kwavile ni wewe basi basi"
[emoji120]
TypoIyo kwendra yenyewe ulivo andika ndio ukike wenyewe bora hata ya mleta mada😂😂
Amekiri baada yakuulizwaDada yako kamueleza haya kweli?
Mwambie best ako huo ushauri utafanyiwa Kazi tuu, hapo anajikoo anajikoshaHuyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoa
Kumbe nikawaida hata asingeshauriwa angefanya tuMwambie best ako huo ushauri utafanyiwa Kazi tuu, hapo anajikoo anajikosha
Mzaramo?Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila kaamua aanze kuishi maisha ya kuchepuka na mabwana wa pembeni makusudi ili apate tulizo la moyo.
Ndipo alipoanza kumshawishi mke wa jamaa nae atafute bwana wa pembeni hatapata stress yoyote ya mapenzi.
Jamaa baada kuambiwa hatua aliyochokua ni kuondoa ushirikiano wa aina baina yake na dada yake na amempiga marufuku mke wake kukanyaga tena huko. Hizi familia zingine kwa kweli ndugu hawapendani kabisa.
Dada mtu ni MnyaturuMzaramo?
Inawezekana mkuu maana hata kama ni kupinda sio kiiviHuyo dada mtu ana mapepo zaidi ya 39.
Akili yake imeharibika
Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila kaamua aanze kuishi maisha ya kuchepuka na mabwana wa pembeni makusudi ili apate tulizo la moyo.
Ndipo alipoanza kumshawishi mke wa jamaa nae atafute bwana wa pembeni hatapata stress yoyote ya mapenzi.
Jamaa baada kuambiwa hatua aliyochokua ni kuondoa ushirikiano wa aina baina yake na dada yake na amempiga marufuku mke wake kukanyaga tena huko. Hizi familia zingine kwa kweli ndugu hawapendani kabisa.
Ni kweli kabisaKikulacho…..
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza kuelezea maisha yake ya ndoa na mumewe ambaye wameoana muda tu na wajaaliwa kupata watoto wa 3 ila kaamua aanze kuishi maisha ya kuchepuka na mabwana wa pembeni makusudi ili apate tulizo la moyo.
Ndipo alipoanza kumshawishi mke wa jamaa nae atafute bwana wa pembeni hatapata stress yoyote ya mapenzi.
Jamaa baada kuambiwa hatua aliyochokua ni kuondoa ushirikiano wa aina baina yake na dada yake na amempiga marufuku mke wake kukanyaga tena huko. Hizi familia zingine kwa kweli ndugu hawapendani kabisa.
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
Daaahh huyo dada hata kwa buku unakula zagaInawezekana mkuu maana hata kama ni kupinda sio kiivi