Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,185
- 19,400
Katika dunia ya sasa ukiona umeoa ama kuolewa na mwenzio hataki ujue nywila zake basi jua unaibiwa.
Na kama utakubaliana na hali basi jua kaburi linawaita kwani kwa dunia ya sasa iliyojaa magonjwa lukuki hamtapona kamwe.
Sasa nyie endeleeni kusapotiana huu uzwazwa wa kutojihusisha na nyendo za mwenzi wako.