Dada mlemavu anatafuta ajira

Dada mlemavu anatafuta ajira

Dorcas21

Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
16
Reaction score
65
Habari zenu,

Kuna dada mmoja ana mtoto mlemavu, mwanaume amemkataa kisa amezaa mlemavu, sasa amehangaika amesomea mipango miji, Anahangaika kutuma maombi ya ajira sehemu mbalimbali, lakini amekosa, na anapata changamoto kumlea mtoto, anaomba msaada wa kazi yoyote aweze kujihudumia yeye na mwanae.
 
Hakuna kazi zinatangazwa Kila kukicha kama watendaji wa vijiji.. Mara nyingi Huwa zinatangazwa Halmashauri.. kama uko na connection na mkurugenzi yeyote basi ni kitonga tu
 
Hana connection yoyote, ameniomba nimsaidie kutuma tangazo humu, kama anaweza kupata msaada
 
Habari zenu ,kuna dada mmoja ana mtoto mlemavu, mwanaume amemkataa kisa amezaa mlemavu, sasa amehangaika amesomea mipango miji,. Anahangaika kutuma maombi ya ajira sehemu mbalimbali, lakini amekosa , na anapata changamoto kumlea mtoto , anaomba msaada wa kazi yoyote aweze kujihudumia yeye na mwanae
Hupewi kazi kwa kuhurumiwa kisa umeachwa na bwana ako,unapewa kazi kwa sababu you are competent enough and you can do this and this.
Sasa wewe unavyokuja na hadithi za sijui bwana kamkimbia shosti ako ila unashindwa kumnadi huyo shosti wako kwa waajiri humu unakosea.hakuna mwajiri atayeweza kumpa mtu ajira eti tu kwa sababu ana matatizo ya kukimbiwa na bwana ake.
 
Mungu akubariki ,
 
Atapata, kikubwa Ana elimu tu
 
Back
Top Bottom