Kafanana na bint machozi
ni yeye originale
Kabadilika
mbele ya make up lazima uonekane mpya
Vp na wewe huwa unaiaplay......
Sijaipenda kabisa make up
Mara nyingi watu wenye mpagilio mbovu wa meno ni wazuri sana kwenye kuimba.
amezidisha sana alitakiwa apake kidogo sana
Nani kumuacha mwenzake?Baada ya Gadner kumuacha sasa naona anatunyemelea vijana.......wanaopenda kulelewa kazi kwenu